Guardiola apania kuzifikia Liverpool na Man U
Kocha wa vinara wa ligi kuu soka nchini England Pep Guardiola, amesema hakuna kombe dogo ambalo timu yake inashiriki, hivyo ili klabu iwe kubwa ni lazima kama Liverpool na Man United ni lazima washinde kila mechi na kubeba vikombe vingi zaidi.

