Yanga SC yashinda 2-0 Marumo,yachungulia fainali

Wawakilishi pekee wa Tanzania kimataifa, klabu ya Yanga Jumatano ya Leo Mei 10, 2023 imeibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya kombel la Shirikisho barani Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS