Rais wa Slovakia atangaza serikali ya mpito
Slovakia ni nchi ya Ulaya ya Kati yenye wakazi milioni tano na nusu.Ikiwa Imepakana na Ucheki, Austria, Poland, Ukraine na Hungaria.Slovakia imekuwa nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu tarehe 1 Mei 2004.