Jumatatu , 8th Mei , 2023

Slovakia ni nchi ya Ulaya ya Kati yenye wakazi milioni tano na nusu.Ikiwa Imepakana na Ucheki, Austria, Poland, Ukraine na Hungaria.Slovakia imekuwa nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu tarehe 1 Mei 2004.

Rais wa Slovakia Zuzana Caputová ametangaza uundwaji wa serikali ya wataalamu na watumishi wa umma ikiongozwa na mtaalamu wa masuala ya fedha Ludovit Odor.

Serikali mpya ya mpito iliyotangazwa imejumuisha wataalam ambao hawana nia ya kuwania nafasi ya ubunge katika uchaguzi wa Septemba 30. huenda kuna kitu ambacho Rias Zuzana amekiona

Kwa wakati huu waziri mkuu mteule Odor ni gavana wa benki ya taifa hilo la slovaviaLakini Waziri Mkuu wa mpito Eduard Heger ataendelea majukumu yake hadi ikiridhiwa bunge baada ya Mei 15.

Taarifa zinasema kuwa Heger alijiuzulu kama mkuu wa serikali Jumapili kutokana na kutofautiana na Rais Zuzan Serikali mpya ya mpito itajumuisha wataalam ambao hawana nia ya kuwania nafasi ya ubunge katika uchaguzi wa Septemba 30.