Ajikata nyeti zake kisa ugonjwa

Mkazi wa Kijiji cha Kibitilo kata ya Ilula Wilayani Kwimba mkoani Mwanza Marco Samweli (32) amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya kanda Bugando baada ya kujikata nyeti zake kwa kutumia kisu na kisha kuzitupa kwa madai ya kuwa amechoka kuumwa ugonjwa uliokuwa ukimsumbua kwa miaka mitatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS