Sudan kusitisha vita kwa siku saba.

Mzozo uliolipuka Aprili 15 huko Sudan umesababisha vifo vya mamia ya watu na kuwalazimisha wengine zaidi ya 100,000 kuhamia nchi nyingine. Mamia kwa maelfu wengine ni wakimbizi wa ndani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS