Kidato cha nne waliofutiwa matokeo kurudia mtihani
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limetangaza kuanza kwa mtihani wa marudio wa kidato cha nne kwa wanafunzi 337 ambao matokeo yao yalifutwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo udanganyifu.
Wanafunzi hawa ni wale waliofanya mtihani mwaka 2022.