Mafanikio yana sauti -Quick Rocka Quick Rocka 'Switcher' msanii anayesumbua masikio ya wapenda burudani na ngoma ya 'down' amewajibu wanaohoji mafanikio yake kuwa makubwa kuliko muziki kwa kusema siku zote mafanikio yana sauti kuliko mihangaiko. Read more about Mafanikio yana sauti -Quick Rocka