Nandy afunguka kuhusu Dully

Msanii wa Bongo Fleva na hit maker wa nyimbo 'wasikudanganye na One day,' Nandy amefunguka na kusema maneno yanayozagaa ya kutoelewana baina yake na mkongwe Dully Sykes ni uongo na kuongeza kuwa msanii huyo ndiye mshauri wake wa mara kwa mara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS