Gor Mahia yawachakaza Jang'ombe Gor Mahia wamefuzu kuingia nusu fainali ya Sportpesa Super Cup baada ya kuwachapa Jang'ombe ya Zanzibar bao 2-0 mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Read more about Gor Mahia yawachakaza Jang'ombe