Warriors waendelea kung'ara NBA
Ushindi wa Golden State Warriors wa vikapu 132 -113 dhidi ya Cleverland Cavaries umeweza kuwaweka katika nafasi nzuri baada ya kuwagaragaza wapinzani wao alfajiri ya kuamkia leo katika uwanja wa Oracle Arena, Oakland nchini Marekani.

