Dida aibeba Yanga Sportpesa
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans wamefuzu kuingia nusu fainali ya SportsPesa Super Cup baada ya kuwachakaza wapinzani wao Tusker ya Kenya kwa mikwaju ya penati 4-2 mchezo uliopigwa uwanja wa uhuru Jijini Dar es Salaam.

