Dawa za kulevya zawaponza wengine watatu

Wanaume watatu wakazi wa Sabasaba, Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukutwa na dawaza kulevya aina ya 'heroine' kiasi cha pinchi 10 pamoja na bangi yenye misokoto inayokadiriwa kufika 52.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS