VIDEO: Jay Moe amtetea muhindi
Mkongwe ambaye bado anaonesha ubabe wake kwenye game Juma Mchopanga ' Jay Moe' amtetea aliyekuwa msambazaji wa albamu za muziki wa bongo 'Mamu' na kusema kuwa hakuwahi kuwanyonya wasanii kama jinsi watu wanavyodai bali wezi walimzidi ujanja.

