AUDIO: Aslay atuhumiwa kuivunja Yamoto
Beka Flavour kutoka Yamoto Band ameweka wazi kwamba wimbo wa 'kidawa' wa msanii Aslay ndiyo chanzo kilichosababisha kusambaratika kwa kundi lao hadi kufikia msanii mmoja mmoja ndani ya kundi kuanza kutoa wimbo kwa kujitegemea.

