Abdi Banda sasa huru kuitumikia Simba
Beki wa Simba Abdi Banda hivi sasa yupo huru kuitumikia klabu yake ya Simba baada ya leo adhabu yake kutangazwa kumaliza kutumikia adhabu yake . Mchezaji huyo alifungiwa na Bodi ya Ligi baada ya kumpiga ngumi mchezaji wa Kagera Sugar, George Kavila