JB awajibu wanaoziponda movie za Bongo
Msanii wa filamu nchini, Jacob Steven maarufu kama JB amefunguka ya moyoni na kusema kwamba ni kweli sinema zao zina mapungufu mengi lakini isiwe sababu ya wao kuacha kudai haki zao wanazoamini kuwa wananyonywa katika pato la mauzo.