Simba yaivaa TFF sakata la pointi za Kagera
Klabu ya Simba leo imeibuka na kupinga utaratibu unaotumiwa na TFF katika kushughulikia suala la pointi 3 ilizopewa kutoka klabu ya Kagera Sugar kwa kosa la kumchezesha mchezaji aliyekuwa na kadi 3, huku ikiituhumu TFF kuwabeba mahasimu wao, Yanga