Picha za utata zamnyima Tunda dili la movie
Video queen Tunda amefunguka kuwa picha zilizowahi kuvuja mitandaoni akiwa kitandani na msanii Stan Bakora zilikuwa ni sehemu ya filamu na zilifanya familia yake kuingilia kati na kumkataza kuigiza filamu hiyo ambayo ilikuwa katika maandalizi.