Baba amkata mwanaye makalio DCP Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Mwanamume mmoja mkazi wa Ndofe wilayani Nyamagana mkoani Mwanza amemfanyia kitendo cha ukatili mtoto wake kwa kumkata na kisu sehemu za makalio kwa madai ya utoro shuleni. Read more about Baba amkata mwanaye makalio