Guterres atamani usitishwaji mapigano Sudan
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres ameanza ziara ya siku mbili nchini Kenya. Ajenda inajikita katika hali ya kibinadamu na usalama nchini Sudan ambako mapigano yanaendelea kati ya majeshi hasimu.