Sirro aapishwa rasmi kuwa IGP Rais Magufuli akimuapisha Simon Sirro kuwa IGP Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo amemvisha cheo kipya na kumuapisha Mkuu wa Jeshi la Polisi mpya (IGP) Simon Sirro Ikulu Jijini Dar es Salaam Read more about Sirro aapishwa rasmi kuwa IGP