Kamati nyingine yaundwa kuchunguza mchanga
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameteua wajumbe wa kamati maalum ya pili itakayofanya uchunguzi wa madini yaliyomo kwenye mchanga wenye madini ulio ndani ya makontena yaliyopo katika maeneo mbalimbali hapa nchini.