Samatta aonesha ubabe wake Genk Mbwana Samatta Streika wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ameonesha ubabeb usiku wa jana kwa kuifungia klabu yake bao moja pale timu hiyo iliposhinda 3-0 dhidi ya Sint-Truiden. Read more about Samatta aonesha ubabe wake Genk