Ni fainali ya kihistoria Kombe la Shirikisho Simba SC ya Dar es Salaam na Mbao FC ya Mwanza leo zinakutana Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kwenye fainali za kuwania Kombe la Shirikisho l katika mchezo utakaoanza saa 10.00 jioni. Read more about Ni fainali ya kihistoria Kombe la Shirikisho