VIDEO: Gereza siyo hoteli - Mrema.
Mwenyekiti wa bodi ya Parole Taifa Mh. Augustino Lyatonga Mrema amewaonya wananchi kuacha kutenda makosa yatakayo wafanya kukataliwa kurudi kwenye jamii pindi watakapohitaji kupata msamaha 'Parole' na kusisitiza gerezani siyo hoteli.

