Wizara yaanzisha dawati la biashara Waziri Charles Mwijage Serikali kupitia Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imeanzisha dawati la wepesi wa kufanya biashara ambalo lina jukumu la kuondoa ugumu wa kuanzisha na kuendesha biashara nchini. Read more about Wizara yaanzisha dawati la biashara