Tanzania yapewa msaada wa mabilioni

Majengo ya Benki Kuu ya Tanzania

Jumuiya ya Ulaya (EU) imeipatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 490 kwa ajili ya kusaidia bajeti kwa kipindi cha miaka minne ijayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS