African Lyon yafanya kweli 'Shamba la Bibi'
Ikiwa joto limepamba moto katika Ligi Kuu Tanzania Bara leo hii timu ya Afrika Lyon imeweza kujinyakulia 'point' 3 baada ya kuichapa Stand United bao 1-0 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuifanya klabu hiyo kuwa kupanda nafasi nne kuu