Mwanamuziki mkongwe Tina Turner afariki dunia Tina Turner enzi za uhai wake Mwanamuziki mkongwe maarufu kama Queen of Rock and Roll Tina Turner amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 83 nyumbani kwake Zurich Switzerland. Read more about Mwanamuziki mkongwe Tina Turner afariki dunia