Azam 'yapotezea' vurugu za Swaziland
Klabu ya Azam FC imesema, wanasubiri ripoti ya Kamishana wa mchezo wao wa marudiano wa kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Mbabane Swallows juu ya vurugu zilizotokea katika mchezo huo uliopigwa Machi 19 Uwanja wa Taifa wa Somhlolo, nchini Swaziland