Man City yaingia matatani EPL Wachezaji wa Man City wakizonga mwamuzi Manchester City imeshitakiwa na chama cha soka nchini Uingereza, FA kwa kitendo cha wachezaji wake kuonesha utovu wa nidhamu kwenye mechi dhidi ya Liverpool Jumapili iliyopita. Read more about Man City yaingia matatani EPL