Madaktari wamiminika kuomba kazi Kenya Waziri Ummy Mwalimu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imesema hadi kufikia jana, imepokea maombi 156 ya madaktari wa hapa nchini wanaotaka kwenda kufanya kazi nchini Kenya. Read more about Madaktari wamiminika kuomba kazi Kenya