Soko la Kariakoo kufunguliwa Oktoba

Serikali kupitia Shirika la Masoko ya Kariakoo limesema ukarabati wa soko hilo umefikia asilimia 85 huku likitarajiwa kuanza kutoa huduma ifikapo mwezi wa 10 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS