Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa Rais Samia Suluhu Hassan Rais Samia Suluhu leo ametoa msamaha kwa wafungwa 376 huku sita kati yao wakiachiwa huru leo na wengine watabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki baada ya kupewa msamaha. Read more about Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa