Siyo dhambi mwanamke kuvaa suruali - Shusho

Christina Shusho akiwa Kikaangoni

Mwanamuziki wa nyimbo za injili Christina Shusho amefunguka na kuweka wazi ukweli wake kuwa siyo dhambi kwa mtoto wa kike kuvaa vazi la suruali kwa kuwa hilo ni vazi la kawaida ilimradi lizingatie maadili

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS