Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF),Naysan Sahba
Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF),Naysan Sahba, amesema Tanzania ina mazingira mazuri ya kulinda haki za watoto.