Young D atoa sababu za kutofanya video ya Hands Up
Msanii wa Hip Hop Young D amesema video ya wimbo wake wa Hands Up bado haijatoka kwa sababu wakati akitoa wimbo huo alikuwa na muonekano tofauti ila kwa sasa wanajipanga kuifanyia video ya wimbo huo.