Matumizi ya takwimu sahihi kukuza kilimo kwa 30%
Mchango wa sekta ya kilimo kwenye uchumi unaweza kuongezeka kutoka kiwango cha sasa cha asilimia thelathini iwapo Tanzania kama nchi itakuwa na mifumo ya kisasa ya ukusanyaji takwimu za kilimo na mifugo.
