Esma Platnumz avunja ukimya Esma Platnumz Dada wa msanii Diamond platnuz Esma Platnumz amesema hakuwahi kumtabiria wala kutegemea kuwa kaka yake Diamond angekuja kuwa mtu maarufu kimataifa japo alikuwa akionesha kupenda muziki tangu akiwa mdogo. Read more about Esma Platnumz avunja ukimya