Kocha Shime aendelea kuipigania Serengeti Boys
Kocha wa Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania Serengeti Boys Bakari Shime amesema anaendelea kukiandaa kikosi chake vizuri ili kuhakikisha kinatumia vizuri mashindano ya kimataifa waliyoalikwa nchini Korea Kusini.