Ndanda kukisuka upya kikosi chake mzunguko wa pili
Ndanda FC wakichuana dhidi ya Yanga Uwanja katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam msimu uliopita.
Uongozi wa Ndanda FC umesema, utahakikisha unafanya usajili wa wachezaji wenye vipaji ili kuweza kuwa vizuri zaidi katika mzunguko wa pili wa ligi hiyo.