Rais Samia apokea ujume maalumu wa Rais Tshisekedi
Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, umewasilishwa na Mjumbe Maalum na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa nchi hiyo, Mhe. Floribert Anzuluni, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

