Wananchi wanapewa bili za maji wasiyo tumia -Tulia Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameitaka Wizara ya Maji na Umwagiliaji kushughulikia tatizo la wananchi kupewa bili za maji huku maji hawapati kwa muda mrefu. Read more about Wananchi wanapewa bili za maji wasiyo tumia -Tulia