Liverpool yalimwa faini na Uefa fujo za mashabiki
Shirikisho la Soka Barani Ulaya Uefa limeipiga faini ya paundi 8,384 klabu ya soka ya Liverpool kutokana na kitendo cha mashabiki wake kuwasha miale ya moto kwenye mechi ya robo fainali ya Uropa Ligi dhidi ya Borussia Dortmund.