Mwenyekiti wa Mtaa wa Bulale auwawa kwa risasi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa Mwanza Ahmed Msangi

Mwenyekiti wa Mtaa wa Bulale uliopo Kata ya Buhongwa wilaya ya Nyamagana mkoa wa Mwanza ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika hapo jana wakati akielekea nyumbani kwake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS