Diamond awataka vijana wageukie kilimo Wito umetolewa kwa vijana wa Kitanzania kubadili fikra kuwa maisha mazuri yanapatikana mijini pekee na badala yake wageukie kilimo kwani kilimo kinaonekana kuwanufaisha na kuwainua vijana wengi. Read more about Diamond awataka vijana wageukie kilimo