Sukari inawafilisi mama ntilie Temeke - Mtolea
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea CUF ameliambia Bunge leo Mjini Dodoma kwamba bei ya sukari kupanda na kuadimika kumesababisha mama ntilie katika jimbo lake kufilisika kwa kuuza chai na vyakula kwa bei ileile pamoja na kupanda bei ya sukari.