Kahawa inazidi kung'olewa Kilimanjaro- Selasini Mbunge wa Rombo Joseph Selasini (CHADEMA) amesema Bungeni Mjini Dodoma kwamba wakulima wa zao la kahawa wilayani Rombo na maeneo mengine wamezidi kung'oa zao hilo na kupanda mazao mengine yenye tija. Read more about Kahawa inazidi kung'olewa Kilimanjaro- Selasini