Tuna mkakati wa kutatua migogoro ya ardhi- Lukuvi
Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi amesema serikali imeamua kuandaa mkakati wa kukaa kwa pamoja na wizara zinazohusika na masuala ya ardhi ili kutafuta ufumbuzi wa kudumu juu ya hali hiyo.